Picha:Mafuriko ya DR.SLAA 2010

Una hoja ya msingi lakini "That was then and this is now".Kumbuka wakati huo vijana waliokuwa na miaka 13 sasa hivi wanapiga kura.Ni uchaguzi ambao Rais anamaliza mihula yake miwili.Huu ni uchaguzi ambao ni tofauti kidogo na uchaguzi wa Rais kuomba muhula wa pili.1995,2005,2015,2025....n+10.Hizi ni chaguzi zenye changamoto sana
 
Kwa hiyo?? Sasa hivi ni mara mbili!! Na ccm ya sasa ni nusu ya ile ya 2010, ccm imeangukia miba.
 
Dr Slaa was the real Change candidate si huyu fake candidate aliyenunua nafasi hiyo Ukawa mwaka huu! Dr Slaa hakutumia mamilioni kulipa watu mafuta na hawa watu walikuja kwa hiari yao kumsikiliza na Dr Slaa alikuwa na mengi ya kusema!
 
Vijana wa ccm embu jaribuni kuacha papara na kutueleza magufuli atalikwamua vipi taifa kutoka kwenye tope la umaskini na maisha ya tabu..ni aibu nchi kuwa na kipindu pindu mwaka 2015
 
Hiyo ndio ukawa.Safi Dr slaa na bado El ndio gharika.
 
Vijana wa ccm embu jaribuni kuacha papara na kutueleza magufuli atalikwamua vipi taifa kutoka kwenye tope la umaskini na maisha ya tabu..ni aibu nchi kuwa na kipindu pindu mwaka 2015

Tunasubiri lowassa aseme,maana mpaka sasa alichosema cha maana ni kumuachia babu seya na kufuta kesi za uamsho!
 
Team lowassa muanze kujiandaa kisaikolojia kama ilivyokua dodoma siku ile!
 
Picha zote tatu ni za eneo moja la mbeya
tena ni mkutano wa kufunga kampeini...sasa kampeini bado lakini mafuriko yako kila eneo.. sasa ngoja kampeini zianze utamjua lowassa
 
Mwaka ule mlitangaza matokeo kibabe, safari hii tunatangaza sisi hata kabla ya tume yenu. Ujanja ujanja hakuna.
 
Picha zote tatu ni za eneo moja la mbeya
tena ni mkutano wa kufunga kampeini...sasa kampeini bado lakini mafuriko yako kila eneo.. sasa ngoja kampeini zianze utamjua lowassa

hapo kuna shinyanga,mwanza na mbeya mkuu umesahau kipindi cha kumtambulisha slaa kabala kampeni hazijaanza mpaka serikali ikaogopa jamaa alivyokua anajaza watu ikapiga marufuku baada ya kufunga kazi jangwani! au ulikua mdogo ndio mtapiga kura kwa mara ya kwanza nyie eeh!
 
Picha zote tatu ni za eneo moja la mbeya
tena ni mkutano wa kufunga kampeini...sasa kampeini bado lakini mafuriko yako kila eneo.. sasa ngoja kampeini zianze utamjua lowassa

Haya na hizi jeee?ni mbeya tuu???

Hata Morgan Tsvangirai wa zimbabwe anakuaga mafuriko lakini hajawahi kuwa rais wa zimbawe,ni mwanasiasa maarufu tu.

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…