Mwanamwana
Platinum Member
- Aug 1, 2011
- 9,604
- 22,714
Mvua kubwa iliyoambatana na upepo mkali imeziacha baadhi ya kaya zikiwa hazina sehemu ya kuishi baada ya nyumba zao kubomoka na kuezuliwa mapaa ya nyumba.
Mvua hiyo pia imeleta madhara makubwa baada kusababisha uharibifu mkubwa wa mazao na chakula huko mashambani.
Mvua hiyo imetokea katika kijiji cha Bulembo kata ya Kamachumu wilaya Muleba mkoani Kagera.