Muke ya mzungu aka lucy komba (pichan ) akiwa kaweka pozi matata, pamoja na mtoto wake wa kiume. Ila lucy sio kwa pozi hilo, na ilo jicho vipi tena? Au ndo matunda ya ndoa? By the way tumemis wedding yako matata pamoja na galaxy yako
Sema wewe binamu, akisema warumi ataambiwa mchawi, sio sura ya selfie jamani, hawa bongo movie mambo mengine hawataki yawapite kabisa, hii sura kwa kweli hapana