Ocampo four JF Senior Expert Member Joined Feb 28, 2014 Posts 5,789 Reaction score 2,159 Sep 13, 2015 #1 Tukutane tarehe 25.10.2015 Attachments 1442169877075.jpg 32.7 KB · Views: 6,677 1442169889705.jpg 52.3 KB · Views: 6,738 1442169907604.jpg 49.1 KB · Views: 5,999 1442169920164.jpg 59.6 KB · Views: 6,138 1442169948774.jpg 79.1 KB · Views: 6,155 1442169961124.jpg 49.8 KB · Views: 6,342 1442169978084.jpg 51.8 KB · Views: 6,302
Mama Mdogo JF-Expert Member Joined Nov 21, 2007 Posts 2,975 Reaction score 2,170 Sep 13, 2015 #2 Nimeupenda huo ujumbe kwenye bango: "nywele nyeupe, roho nyeupe, njia nyeupe, ikulu mapema".
chiembe JF-Expert Member Joined May 16, 2015 Posts 20,725 Reaction score 31,307 Sep 13, 2015 #3 Tarehe 25 October watakaa vichwa chini
M mangatara JF-Expert Member Joined Jul 6, 2012 Posts 14,517 Reaction score 14,167 Sep 13, 2015 #4 Mtukufu rais EL, hiyo fimbo iinue juu zaidi wapinzani wako waione. Waambie kuwa, kuchapwa ni muhimu. Utawachapa mpaka wafunguke waiogope ccm ka ukoma
Mtukufu rais EL, hiyo fimbo iinue juu zaidi wapinzani wako waione. Waambie kuwa, kuchapwa ni muhimu. Utawachapa mpaka wafunguke waiogope ccm ka ukoma
M marcusgarvey JF-Expert Member Joined Aug 16, 2015 Posts 891 Reaction score 235 Sep 13, 2015 #5 Lowasa hana mpinzani,kila kona lowasa lowasa
cjilo JF-Expert Member Joined Sep 8, 2011 Posts 884 Reaction score 447 Sep 13, 2015 #6 Mamvi busara, mamvi neema,,,in msagasumu voice
C christmas JF-Expert Member Joined Jul 21, 2011 Posts 2,701 Reaction score 1,280 Sep 13, 2015 #7 huyu ndio Rais wetu VIVA UKAWA
nyengo JF-Expert Member Joined Oct 27, 2010 Posts 454 Reaction score 185 Sep 13, 2015 #8 Sasa Makufuri anapoteza hela za nini ktk kampeni wakati Lowassa ni njia nyeupe ikulu??? Nimelipenda hilo Bango " Nywele nyeupe, roho nyeupe njia nyeupe,Ikulu mapema"
Sasa Makufuri anapoteza hela za nini ktk kampeni wakati Lowassa ni njia nyeupe ikulu??? Nimelipenda hilo Bango " Nywele nyeupe, roho nyeupe njia nyeupe,Ikulu mapema"
Bakulutu JF-Expert Member Joined Nov 30, 2011 Posts 2,578 Reaction score 1,817 Sep 13, 2015 #13 Kwenye uzi kama huu ukiona view nyingi bila comments ujue niza magamba yana jiharishia
C Costantino mnyanga Senior Member Joined Feb 21, 2013 Posts 109 Reaction score 12 Sep 13, 2015 #14 Ushindi lazima..
mfungwa JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 1,294 Reaction score 345 Sep 13, 2015 #16 mangatara said: Mtukufu rais EL, hiyo fimbo iinue juu zaidi wapinzani wako waione. Waambie kuwa, kuchapwa ni muhimu. Utawachapa mpaka wafunguke waiogope ccm ka ukoma Click to expand... Magufuli haitaji kuitwa mtukufu kwani mtukufu ni yule aliye juu. Ni kazi tu. Attachments 1442171710325.jpg 59.9 KB · Views: 775
mangatara said: Mtukufu rais EL, hiyo fimbo iinue juu zaidi wapinzani wako waione. Waambie kuwa, kuchapwa ni muhimu. Utawachapa mpaka wafunguke waiogope ccm ka ukoma Click to expand... Magufuli haitaji kuitwa mtukufu kwani mtukufu ni yule aliye juu. Ni kazi tu.
Jay One JF-Expert Member Joined Nov 12, 2010 Posts 18,535 Reaction score 20,710 Sep 13, 2015 #17 Daaaaahh...!!! Lowassa, Ukawa USHINDI WENU...!!! USHINDI wa UKAWA ni wetu watanzania, tuikatae CCM... imetutia umaskini wa ufukara...!!! CCM OUT...!!
Daaaaahh...!!! Lowassa, Ukawa USHINDI WENU...!!! USHINDI wa UKAWA ni wetu watanzania, tuikatae CCM... imetutia umaskini wa ufukara...!!! CCM OUT...!!
Ocampo four JF Senior Expert Member Joined Feb 28, 2014 Posts 5,789 Reaction score 2,159 Sep 13, 2015 Thread starter #19 Bukanga said: Click to expand... Safi sana....