Ocampo four
JF Senior Expert Member
- Feb 28, 2014
- 5,789
- 2,159
Maana hicho kichwa cha habari kwa wale wapambe wa upande wa pili wanaweza kukitolea tsfsiri ya design ya ashakum si matusi.Hongera Ocampor. Ila rekebisha kichwa cha habari, Naona kalam imeteleza Kamanda,
Ocampo four hiyo heading mwanangu imenileta mbio kweli kwamba "aliwa" du niliogopa kweli!
Mbeya anaenda lini?