Picha: kweli Chadema wakiamua wanaweza

kipara kipya

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2016
Posts
20,141
Reaction score
24,448
Chadema wana lao jambo baada ya Lowassa ni zamu ya Hoseah,List of shame!
 
Cyprian Musiba alisifu na kuabudu Binadamu badala ya Muumba mbingu na sasa matokeo yake ni yeye kujificha. Wewe kazi yako ni uongo na kuzusha mambo bila sababu ya msingi. Utakuja kutendewa HAKI na Mola wetu.

Na sijui kwanini anatumia Jina la Veronica France huko Mitandaoni badala ya hili Jina lake.

Kuna Watu hata wakibadili vipi Majina yao ( Akaunti zao ) huko ( humu ) Mitandaoni utawajua tu.

Na sijajua ni kwanini bado ' System ' kupitia Wakubwa wake kadhaa ( baadhi ) inaendelea tu Kumtumia.
 
Kwanini unaihusisha Chadema kama taasisi kwa issue inayohusisha kikundi fulani cha watu walioamua kufanya hayo kwa utashi wao?

Japo siku hizi kumezuka kamchezo cha wengi kufuata zaidi watu badala ya taasisi na wakati mwingine wanaenda mbali zaidi mpaka kujigeuza wasemaji wao ndio maana na wewe mleta mada umeingia mkumbo huo.
 
Wewe mwnyw watu wanakufananisha na popoma aitwaye gentamaisini
Purely talented and charismatic fella
 
Chadema wana lao jambo baada ya Lowassa ni zamu ya Hoseah,List of shame!View attachment 1741866
Wewe zoba hapo Chadema inahusikaje? Na nyie mods thread zingine kuziachia humu ni kukaribisha malumbano yasiyo na tija na wakati mwingine hata matusi na kupingaba na ile kauli mbiu yenu kuwa hapa JF ni Home of Great Thinkers. Ingesemwa CCM nina uhakika huu uzi ungefutwa
 
Bado system haiamini kuwa wananchi wanajitambua na wanawadharau watu kama Vuvuzela Musiba.
 
Inawezekana upo nje ya chadema ndio maana hujui yanayoendelea!
 
Chadema ni washing machinery ya watenda maovu nchi hii!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…