Picha kukataa kufunguka kwenye simu

Picha kukataa kufunguka kwenye simu

Msingida

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2010
Posts
10,684
Reaction score
12,451
msaada wadau,nimepiga picha kwa kutumia camera ya simu aina ya Blackberry curve 9380,baadhi zimegoma kufunguka wakati siku chache zilizopita zilikuwa zinafunguka.
Nawezaje kuzi recover?
 
Back
Top Bottom