Nimeipenda saaana!.. Hii mijamaa imejiziba macho ili isione. Bunduki zao ziko tayari kuua!.. Cheki bunduki kwenye kofia.![]()
Tafakari chukua hatua.
Basi uolewe!Sielewi
Basi uolewe!
Sielewi
Utakuwa na ugonjwa wa UPOMWI.
(Upungufu wa Pombe Mwilini)
Mmmh!... Kuchomeka na kuchomoa? Wapi Ohio?lakini kila siku unachomolea .