[emoji2]Mkuu uliadimika sana kumbe upo,wa mikoani ngoja tuone picha tu
Kweli mkuu, nipoo
Hahahahiki ndo kinachoendelea kuosha gar then kwenda shamba kufata kokotoView attachment 1458265
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]Nikiripoti kutokea Buza,wameeanza kujiandaa huku.View attachment 1458266
Sent using Jamii Forums mobile app
Doh, maeneo yangu yote hayo enzi nina nguvu zangu, wasalimie sana kibamba na kwembe mkuu, ukifika serikali ya mtaa piga hata honi tu kunipa heshima yangu pale.kinachoendelea hapa goba ni kuosha gar then kwenda kufata kokoto kisopwa
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]Nimepita maeneo ya sabasaba nikakuta watu wameanza kuserebuka kwenye ile party ya kuaga Corona! View attachment 1458267
Ntakuenzi vyema mkuu nikifika kwny kilima kwa bi mtumwa pale ntakuwa napiga stopper nyingi kwa ajili yakoDoh, maeneo yangu yote hayo enzi nina nguvu zangu, wasalimie sana kibamba na kwembe mkuu, ukifika serikali ya mtaa piga hata honi tu kunipa heshima yangu pale.
Sent
sawa sawa mkuuHapa Mombasa karibu na kwa Rugambwa watu wanaonekana na Furaha kiasi Fulani wanasherekea Eid wala siyo corona
Mambo yakikaa sawa narudi rasmi