Picha: Kampeni za "ukawa " si mchezo


Aisee hii account Mussa Allan imeingiliwa...!!
Tangu lini Mussa akaongelea haki..!!
Kweli freedom is Coming..
R I P JiCcm
 

Mkuu umenena
 
hata mimi nilikuhudhuria huo mkutano...wengi hatakuwa na ishu mjini tukajikuta maeneo hayo so wakereketwa hapo ni wanywa viroba waliopewa jezi
 
Maneno yako hayaakisi hali halisi huko site waliko wapiga kura kaka,this is the reality...na hiyo ni ilala tu bado vijijini






Aliyegundua usafiri wa malori ashukuriwe sana sana! Bila yeye hali ingekuwaje?
 
Akaunt ya musa Allan I wane I hack
 
CCM inaweza kungooka Kibamba,Segerea,lakini sio Ilala kinondoni,Temeke,
 
Maneno yako hayaakisi hali halisi huko site waliko wapiga kura kaka,this is the reality...na hiyo ni ilala tu bado vijijini






Usijidanganye mkuu, hapo wawezakuta nusu wamekwenda kushangaa tu na kuangalia kama kuna chochote, kura ukawa.
 
Kama lowasa kavua gamba msalani ni nani hata asivue?
Anafwata pesa zinapoenda alaaa
 
Last edited by a moderator:

Hongera sana kwa kuvua gamba
 
Huyu kweli ni Mussa Allan? Kitu gani kimembadilisha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…