Wakapige kura.
Asante sana hakikisha hampokei chakula kutoka kwa mtu yeyote kwani wamezoea kukichezea mtakuta mnaendesha au kulala fofofo kwa muda wa siku tatu.Helcopta haikuepo mkuu,hawa woote na mimi nikiwemo tumejipeleka wenyewe.na tumepeana mkakati mkali wa ulinzi wa kura.TUTALINDA HASWAA,NA HILO TUNA MAANISHA.
Wapenzi na wananchama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), wakiwa na bango lenye ujumbe mbalimbali, katika mkutano wa mgombea urais kupitia chama hicho, Dk. Willibrod Slaa, uliofanyika kwenye Uwanja wa Mwembe Yanga, Temeke jijini Dar es Salaam hii leo.