Elections 2010 PICHA: Kampeni za Slaa jijini Dar es Salaam leo

n00b

JF-Expert Member
Apr 10, 2008
1,006
2,667
Bango_mwembeyanga.jpg


Wapenzi na wananchama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), wakiwa na bango lenye ujumbe mbalimbali, katika mkutano wa mgombea urais kupitia chama hicho, Dk. Willibrod Slaa, uliofanyika kwenye Uwanja wa Mwembe Yanga, Temeke jijini Dar es Salaam hii leo.

SlaakuhutubiaManzese.jpg

Mgombea urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa akiwahutubia wakazi wa Manzese jijini Dar es Salaam, katika mkutano wake wa kampeni leo mchana.

MpigaPicha_Mwembeyanga.jpg

Mmoja wa wananchi waliohudhulia mkutano wa mgombea uaris kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa, akipiga picha huku akiwa amevalia kofia yenye picha ya mgombea huyo

SlaakuhutubiaMwembeYanga1.jpg

SlaakuhutubiaMwembeYanga2.jpg


Mgombea urais kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa, akiwahutubia maelfu ya wakazi wa jiji la Dar es Salaam, katika mkutano wa kampeni, kwenye Uwanja wa Mwembe Yanga, Temeke hii leo.

Picha zote kwa hisani ya Joseph Senga
 
Mungu wetu tunayekuabudu, kukutukuza, kukuomba na kukulilia sikiliza kilio chetu utuondelee CCM na Kikwete na wale wote ambao wameifisadi nchi yetu. Amina.
 
Oooohh my Godness woooooow......!!!!!!!!!!! such a huge crowd kweli wtu wameichoka CCM, kiwanja kimekuwa kidogoooo, 2010 hatudanganyiki, Pipoooooozzz poweeeeeeer, period
 
Helcopta haikuepo mkuu,hawa woote na mimi nikiwemo tumejipeleka wenyewe.na tumepeana mkakati mkali wa ulinzi wa kura.TUTALINDA HASWAA,NA HILO TUNA MAANISHA.
 
Helcopta haikuepo mkuu,hawa woote na mimi nikiwemo tumejipeleka wenyewe.na tumepeana mkakati mkali wa ulinzi wa kura.TUTALINDA HASWAA,NA HILO TUNA MAANISHA.
Asante sana hakikisha hampokei chakula kutoka kwa mtu yeyote kwani wamezoea kukichezea mtakuta mnaendesha au kulala fofofo kwa muda wa siku tatu.
 
kweheri kwaheri wewe CCM,
umetudhurumu wewe CCM,
hatukutaki wewe CCM,
potea kabisa wewe CCM.

wamelaaniwa wote,
tena wameoza wote,
hawatufai wote,
tuwanyime kura zote.
 
dadadadadada! Hii nyomi ikipiga proffesional vote basi angalau 75% yao wanachagua Mwanga dhidi ya giza. Lolololo pressure inashuka pressure inapanda
 
wana JF, kweli dr. slaa ni mziki mnene kwa JK. Leo mwembeyanga ilifurika na hakuna cha viduku wala bongo flava, ilikuwa full policies only. Big up sana kaazi kubwa ni kulinda kura.
 
Bango_mwembeyanga.jpg


Wapenzi na wananchama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), wakiwa na bango lenye ujumbe mbalimbali, katika mkutano wa mgombea urais kupitia chama hicho, Dk. Willibrod Slaa, uliofanyika kwenye Uwanja wa Mwembe Yanga, Temeke jijini Dar es Salaam hii leo.

mbona mkutano umejaa watoto wa shule!!! Bwahahahaha
 
Mkuu Slaa ni kiboko.
Hawa jamaa wamepanga kuchakachuakura kwa kutumia their fake researches.

Tuzilinde kura zetu.
Big up Dr Slaa
 
Chooooooooooooochea!
Chochea karama yako chochea! cho cho! Chochea.......................................
Mpaka kieleweke.

Ahsante sana mdau uliyeleta hizi picha!
 
......Slaa mwaka huu kawapa pressure sana CCM. Kama kweli watu watapiga kura kama walivyokuwa wanajaa kumsikiliza basi ushindi ni kwake.Mambo yote ni jumapili.........Mungu amsaidie ashinde labda kutakuwa na mabadiliko mazuri.
 
Back
Top Bottom