Picha: Jihadharini na huyu tapeli

Mpaka umetapeliwa fahamu wewe ni mjinga.Matapeli hawatakaa wakaisha kwa kuwepo wajinga.
 
Haya mambo yamekuja na mapya kwa kweli ni utpeli uwongo wizi uzinzi umbea yote ni hii mitandao poke yetu aisee!
 
Mchagga mwaminifu marehemu. Muamini mchagga ulie. Wakivuka mto Kikafu huwa wanaapizwa tafuta pesa kwa njia zozote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…