Picha: Jihadhari na hawa matapeli/wezi uwapo barabarani na chombo cha usafiri nyakati za usiku

chakii

JF-Expert Member
Sep 15, 2013
19,696
22,729
..Kuna Vijana wa maeneo ya Mapinga Kerege Bagamoyo wanaigiza uvaaji wa nguo kana kwamba ni JINI....then wanasimama pemben ya barabara na kuectia km wanakusimamisha, madereva wa piki piki au bajaj ata MISIBA na wanapoona hivyo huacha vyombo na kukimbia kwa kiwewe hapo hao vibaka uiba wanachotaka kuchukua na kutokomea gizani...

Hii imetokea mda si mrefu Maeneo ya bunju karibu na darajani..rafik ndie aliechukuliwa BAJAJI hv..nilikua nikitaka nitoe tahadhari kwa MTU YEYOTE atakaekutana na hali hii hawa.. na kichwani huwa wanafunga vitochi vikali mfano wa macho so ukikutana nacho usiku hasa utumiapo BAJAJ na pkpk.

NB: Imetumwa kama ilivyopokelewa.
 

Attachments

  • IMG-20160925-WA0003.jpeg
    IMG-20160925-WA0003.jpeg
    9 KB · Views: 89
..Kuna Vijana wa maeneo ya Mapinga Kerege Bagamoyo wanaigiza uvaaji wa nguo kana kwamba ni JINI....then wanasimama pemben ya barabara na kuectia km wanakusimamisha, madereva wa piki piki au bajaj ata MISIBA nawanapoona hivyo huacha vyombo na kukimbia kwa kiwewe hapo hao vibaka uiba wanachotaka kuchukua na kutokomea gizana...hii imetokea mda si mrefu Maeneo ya bunju karibu na darajani..rafik ndie aliechukuliwa BAJAJI hv..nilikua nikitaka nitoe tahadhari kwa MTU YEYOTE atakaekutana na hali hii hawa..na kichwn huwa wanafunga vitochi vikali mfano wa macho so ukikutana nacho usiku hasa utumiapo BAJAJ na pkpk.


NB :Imetumwa kama ilivyopokelewa.
Hao jamaa wananikumbusha ile ishu ya wale jamaa walioibuka k'ndoni makaburini wakavamia baa iliyo karibu wakijifanya wamefufuka,watu wakatoka ndukii jamaa wakakusanya kila kilichoweza kubebeka wakapotea gizani!
 
ijapokuwa wizi ni kitendo kibaya ila Kwa hawa jamaa nimewakubali Kwa mbinu Yao maana watanzani Walio Walio wengi wanaogopa mambo ya kishirikina kuliko upanga na bunduki,Kwa ujio huu hawa wezi watafanikisha bila ya usumbufu hazma yao
 
Kama kuna mtu aliyeona mtu aliyejivalisha hivyo halafu akakimbia na kuacha gari nitamdharau sana.
Ha ha ha ha ha mkuu mambo ya usiku hayo dah... ila sjajiskia ajali kutokana na. Hyo ishu so possible man made events
 
Watu kama hawa dawa yao nikuwatandika risasa za vichwa unatembea

Kati ya watu nao natamani kukutana nao uso kwa uso ni hawa na panya road!
 
Wizi wa zaman kwa kutumia teknolojia mpya, alaf ndio useme eti tz tunatumia 1% ya akili zetu,

Asante kwa angalizo
 
Back
Top Bottom