Picha inayozungumza

Mi nimemwelewa Nguli: Behind all dirty jokes of ufisadi, Nimrod is arround. halafu wakubwa wote wanamheshimu....the pics says more than we can imagine. haklafu unadhani kuna siku Obama ataikemea Tanzania? Thubutu!
Ataendelea kutuchekea ili wa Kenya watutawale vizuri kwa kupitia mikataba inayoshauriwa na wajanja kama Nimrodi, Chenge Werema, Ngeleja and all that you can mention......
 
so Nimron Mkono ndio MASTER-MIND ama? lakini mbona RA kashasewma yeye hiyo ni kazi yake ya kutafuta wawekezaji
 

haya Nguli, tafadhali thibitisha hiyo kauli kama ni kweli. na kama ni kweli huitakii mema hii nchi...hahahaha

michelle alisema mahali fulani leo kwamba wanatuchezea mchezo mchafu. kwa hiyo walipoona moto umepamba wakamtuma Mkono ajifanye anajitolea kusaidia wakati anajua kila kitu. Ili atu fix sawasawa wakati huo tunadhani kwamba ccm ni wasikivu wamesikia kilio cha wananchi kutoilipa Dowans!!!! Ndiyo maana sijaelewa hiyo proposal ya kupunguza deni, wao ni mahakama?

I like this game
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…