Picha inayozungumza | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Picha inayozungumza

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by NGULI, Jan 25, 2011.

 1. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #1
  Jan 25, 2011
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,819
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  [​IMG]
   
 2. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #2
  Jan 25, 2011
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,819
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  [​IMG]
   
 3. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #3
  Jan 25, 2011
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,819
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  [​IMG]
   
 4. Babu Lao

  Babu Lao JF-Expert Member

  #4
  Jan 25, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 2,056
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  :kev:
   
 5. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #5
  Jan 25, 2011
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,819
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  [​IMG]
   
 6. mchonga

  mchonga JF-Expert Member

  #6
  Jan 25, 2011
  Joined: Dec 3, 2006
  Messages: 1,233
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
   
 7. Gurudumu

  Gurudumu JF-Expert Member

  #7
  Jan 25, 2011
  Joined: Feb 5, 2008
  Messages: 2,350
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  wewe Nguli, yaani hiyo picha inasemaje sasa?
   
 8. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #8
  Jan 25, 2011
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,819
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Iangalie kwa makini utasikia sauti masikioni mwako
   
 9. N

  Nyumbu- JF-Expert Member

  #9
  Jan 25, 2011
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 941
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 45
  Mi nimemwelewa Nguli: Behind all dirty jokes of ufisadi, Nimrod is arround. halafu wakubwa wote wanamheshimu....the pics says more than we can imagine. haklafu unadhani kuna siku Obama ataikemea Tanzania? Thubutu!
  Ataendelea kutuchekea ili wa Kenya watutawale vizuri kwa kupitia mikataba inayoshauriwa na wajanja kama Nimrodi, Chenge Werema, Ngeleja and all that you can mention......
   
 10. birungi

  birungi JF-Expert Member

  #10
  Jan 25, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 388
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  kweli inazungumza mwaya,hapa nimeshaelewa kitu.
   
 11. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #11
  Jan 25, 2011
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 8,308
  Likes Received: 5,024
  Trophy Points: 280
  so Nimron Mkono ndio MASTER-MIND ama? lakini mbona RA kashasewma yeye hiyo ni kazi yake ya kutafuta wawekezaji
   
 12. Gurudumu

  Gurudumu JF-Expert Member

  #12
  Jan 25, 2011
  Joined: Feb 5, 2008
  Messages: 2,350
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  haya Nguli, tafadhali thibitisha hiyo kauli kama ni kweli. na kama ni kweli huitakii mema hii nchi...hahahaha

  michelle alisema mahali fulani leo kwamba wanatuchezea mchezo mchafu. kwa hiyo walipoona moto umepamba wakamtuma Mkono ajifanye anajitolea kusaidia wakati anajua kila kitu. Ili atu fix sawasawa wakati huo tunadhani kwamba ccm ni wasikivu wamesikia kilio cha wananchi kutoilipa Dowans!!!! Ndiyo maana sijaelewa hiyo proposal ya kupunguza deni, wao ni mahakama?

  I like this game
   
 13. kweleakwelea

  kweleakwelea JF-Expert Member

  #13
  Jan 25, 2011
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 2,317
  Likes Received: 395
  Trophy Points: 180
  dah kazi kwelikweli! nimrod ana mkono wake kwenye masakata mengi!
   
Loading...