Kuna kanisa Moja uganda waliletewa na wamisionari kutoka Korea Kusini picha wakaiweka Kanisani. Kumbe wameweka dude la hatari kuanzia hapo wachungaji walikuwa wanakufa hatari haswa wale wanaokuwaga na ratiba za maombi usiku..
Mpaka alipoenda jamaa mmoja ndo akashtukia mchakato nae aliponea chup chup kuchomelewa roho.
Kuna haja sana kuelewewa nini kipo nyuma ya picha husika kiroho.