Yeah hata ile orodha yake ya kwanza ilikuwa na mapungufu. Baadhi ya Majina yaliandikwa mojamoja na hayakuwa na anwani kamili. Sisi waswahili tuna Majina ya kufanafanana. Si ajabu hili ndo limechangia mwitikio wa kuripoti polisi kuwa mdogoView attachment 470336
MAJINA YA WAUZAJI MADAWA YA KULEVYA WAKUBWA.
---------
Hivi ni nani huwa anaandika hizi list za MAKONDA? Huyu aliyeandika hapo juu ya hilo faili alifika la saba kweli?
Kama ni Makonda mwenyewe basi inatakiwa arudi shuleni.
Hayo majina wala sio ya watuhumiwa bali tayari ameshawahukumu ni wauzaji wa madawa ya kulevya.View attachment 470260
Hapa wanakabidhiana majina
Wewe jiulize. Kwa nini aliamua kumkabidhi mbele ya camera? Kwa nini mpaka aliandika kwenye file? Hapo ndo ujue umri wake alitakiwa awe chuoni bado, mambo yake ni ya wanafunzi wanaochipukia.Du umeniacha hoi ni kweli kwa majjitu yanayopenda sifa hayakawii kukabidhi file tupu. Sasa Makonda arudi kwenye hoja ya matokeo ya Form Four kazi ya madawa ya kulevya sio yake.
Huyo dogo anafikiria hiyo kazi ni sawa na kutaja wauza karanga kwenye baaJamaa anamwangalia kwa jicho la dharaau huku akijisemea huyu dogo ana mbwembwe ha ha angejuaaa
Haha! Ndio hivyo LA muhimu tujadili kuhusu wao. Haijalishi mini wanapambana naloMajangili Dar wanajangilia vitu gani pale?
...kama angempa secretary hayo majina ayachape si angevujisha siri...Hivi RC hana Personal secretary? mbona taarifa zake na majina na hilo faili zimekaa hovyo hovyo kama faili la Mwenyekiti wa VICCOBA!
Au amemrithi Personal Secretary wa Marehem Ditopile?
au mweyekiti wa ccmHivi RC hana Personal secretary? mbona taarifa zake na majina na hilo faili zimekaa hovyo hovyo kama faili la Mwenyekiti wa VICCOBA!
Au amemrithi Personal Secretary wa Marehem Ditopile?