DCI Comrade One
JF-Expert Member
- Oct 14, 2012
- 473
- 603
KweliDah wasio wakirimu wagen paradiso. Na maana firdaus kwao ni ndoto
Mpende Mwenzio/Jirani/Rafiki/ Mgeni kama unavyojipenda
Kama walivyo Shehoza, Shemtoi, Shetani na ShebaruaUchoyo na uchawi ni ndugu mmoja
Haswa kwa watotoakuna msosi mtamu zaida ya wali maharage
Wewe ume comment kitu cha kiungwana sana na nakubaliana nawe 100%Unapata zambi unachezea chakula
Ktk Woote we ndio umeng'amua kuwa lengo ni Sanaa na ndio maana nikasema picha yajieleza....All in all it's my friend artsAiseee sijui umewaza nini kuchora Raman kwenye wali marage