Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,114
- 34,957
Picha B ni Makufuli na Picha A ndio mwenye Funguo za Makufuli...Jamaa anakunywa nini?huyo si magufuri au.
swissme
Picha B ni Makufuli na Picha A ndio mwenye Funguo za Makufuli...
Kaka na mimi nitakwenda kunywa kikombe cha Babu ili nichaguliwe hapa Jamii Forums niwe mbunge baadae niwe Waziri wa Afya ndaniya Jamii forums. Kikombe chababu kumbe kina nguvu?Hahahaaa mzee acha fitna