Ufisadi na umaskini upo katika kila nchi kaka. Sije ukadhani kwamba haupo katika nchi zile zilizoendelea, kwa maana vyombo vya habari na serikali za huko huyaficha tu mambo haya.
Tia bidiii kivyako na wenzako mjenge nchi yenu ili umaskini upungue. Nami najitahidi kufanya hivyo hivyo