Picha hizi zinakukumbushia wapi??????????

hii inanikumbusha nilipokua kijana mdogo naoga na mtoto wa jirani yangu anaitwa Chiku
 
sasa nani aniambie hii anaikumbuka sana eti kalewa Cocacola, wacheni ushamba , ccm huwapa Gongo hawa jamaa

Mkuu nguvumali, hizo chupa hutumika kupimia gongo. mm sijawahi kuona chupa za bia zikitumika kupimia au kunywea gongo, pia huyo jamaa mbona kama suluwali imeshushwa chini? nawasi wasi vijana wamemwagia mchanga jichoni!
 
SASA KWA WALE WAKAZI WA HAPO DAR , hii picha yawakumbusha nini
Duh!!!!HII KALI SANA,IMENIKUMBUSHA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM,HAPO MNAWAHI LECTURE ZA ASUBUHI!!!!MABIBO HOSTEL!!!!HAHAHAHAHAHA!!!SIJUI SIKU HIZI KUMEBORESHA AU MTINDO HUUHUU!!!
 
Sema wewe kama wewe hizi picha zinakukumbushia wapi? au unakumbuka nini?

Hiyo ya kwanza inanikumbusha siku ya kwanza ulipotoka kijijini kwenu na malboro kuja dar kwa mara ya kwanza mwaka jana tarehe 25.12. watu ubongo walipigwa na butwaa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…