PICHA HIZI NOOOOOOOOMA (Angalia na slides)

Hizi picha si noma, bali ni hatari kwa kuharibu macho yetu tu! :spy:
 
Hizi picha zinatumika katika kupima matatizo ya ubongo ambayo huhusichwa na section ya kuona... ukiona picture hizi zinasumbua macho yako basi ujue uta tatizo liitwalo epiplexy naasdemata... ukiwa na umri mkubwa waweza pata tatizo la utaahira... na kuanguka anguka.


Just kidding..........
 
Ni picha flani za kumpa mtu wenge.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
nimegundua kitu....... ukiblink ndo zinafanya effect yake, ukikaza macho hakuna mabadiliko yoyote
 
nimependa ya mwisho kweli ametokea yesu
 
Hizi ndizo zilizotumika kumchangaya Dk. Uli nini?
 
...Asante Mungu, kumbe @ 53 bado macho na ubongo wangu vipo fit maana najionea kawaida tu..!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…