Picha hii tuitafakari kwa majonzi

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,459
Reaction score
872,093
Kama mzazi,mlezi na sehemu ya jamii tupige vita upuuzi huu, tusikiangamize kizazi kijacho kwa matendo yetu wenyewe
 
kwa kibongo hiyo ni hatareee lakini wazungu ni kawaida
 
Hao wadogo sana na hawajui watendalo. Wakikua kidogo basi wataanza ona aibu na kuacha kitu hicho IMHO
 
Hapo utadai watoto wa Siku hizi wameharibika, ila umasahau behind this wapo wazazi/walezi wao tena unaweza kuta wanapiga makofi na vigelegele...... hahahaah mchumu tena mwaaah... ndicho wanachofundishwa
 
Basi huku uswahilini kwetu twawaona ni wajanja!
 
Jamani yaaan nimeshangaaa mpaka basi yaani hivi????? Jamani wazazi tuna kazi kubwa saaaaaana Mungu tusaidie. Kweli kaka umesema kweli
 
Hao wadogo sana na hawajui watendalo. Wakikua kidogo basi wataanza ona aibu na kuacha kitu hicho IMHO

Usijidanganye mwenzangu yaani wamejifunza kutoka kwa wakubwa na hata TV nazo zachangia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…