Burn the bridge _Tz
JF-Expert Member
- Apr 15, 2021
- 2,247
- 6,615
Ahsante kwa maoni karibu tenaKwanini usimuulize aliyekokodi?Na kwanini unashangaa kupewa laki sita?
Sahihi mkuu nimeeelewa ahsanteKaka umekosea SANA next time yambua HII ni mitandao UNAWEZA jikuta we mwenyewe UKO KWENYE MATATIZO huoni yalio mkuya yule JAMAA WA cutting barbershop Fulani. Kimzahamzaha ohooo
Kwishaaaa
Kwani jamaa yalimkuta mambo gani mkuuKaka umekosea SANA next time yambua HII ni mitandao UNAWEZA jikuta we mwenyewe UKO KWENYE MATATIZO huoni yalio mkuya yule JAMAA WA cutting barbershop Fulani. Kimzahamzaha ohooo
Kwishaaaa
Sawa ahsanteAcha umbeyaaa ,watu wapo kaziniii
😁hii sio Bajaj mkuu angalia vizuriDereva bajaji mbea huyu, unamwaga ubuyu wa mteja 🙌
Hapana ye ALIKUA anarekodi MISHE zake kwa watoto anarusha mitandaoni pitapita HUKU na KULE viongozi akiwemo gwajima AKaiONA JAMAA akaambiwa ajisalimishe harakaKwani jamaa yalimkuta mambo gani mkuu
Kibajaji hicho sasa ni nini 😃😁hii sio Bajaj mkuu angalia vizuri
Pasingetosha mkuuHii mitandao hii, hauna kaba mkuu?
Unadhani kila mtu angekuwa anaweka anayokutana nayo kwenye mishe zake pangetosha kweli?
Sawa nitajitahidi mkuuHuna siri jamaa yangu au utoto unakusambua
Jitambue bas
Hii v8 kakaKibajaji hicho sasa ni nini 😃
Jaamaa kanikodi picha linanaza jamaa ametoa laki sita, Haya
Pale kivukoni polisi wote wanampa ushirikiano mpaka naogopa..
Hii ni Nini jamani au mafuta ya watuView attachment 3420554
Acha umbea broHii v8 kaka