Picha hii inamaana Kubwa

mitandaoni

Member
Joined
Mar 25, 2017
Posts
10
Reaction score
25

Mugabe akiwa kizuizi cha nyumbani kwake, akiwa anafurahi jambo na mkuu wa majeshi Constantino Chiwenga (anaeongoza mapinduzi ya kijeshi nchin humo -Zimbabwe).

Kweli haya na mapinduzi ya aina yake....comrade kwa comrade wanajadiliana juu ya mambo ya Nchi, kwa hali ilivyo Robert Mugabe bado ni Rais, inasemekana General Chiwenga bado anapigia Saluti Rais Robert MUgabe.
Hongereni Jeshi Zimbabwe kwa nidhamu iliyotukuka...
 
Joseverest leo nimekuwahi

Unashindwa kuchangia mada iliyo mezani.. unakimbilia kushindana na jose ili uonekane wa kwanza kukomenti!!

Watu bwana [emoji57]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…