Waziri wa Nishati na Madini, William Ngeleja (kushoto) akibadilishana mawazo na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini, January Makamba wakati walipotembelea Bwawa la Mtera kuangalia hali ya uzalishaji wa umeme nchini. (Picha na Mwanakombo Jumaa-MAELEZO).
MY TAKE:
Picha inanipa jawabu la kwanini ngeleja amekuwa akisita kumjibu makamba hadharani kuhusiana na barua aliyomhandikia. kila siku mara nimepokea barua sijaisoma, oh mara nitamjibu kwa barua kama alivyoniandikia wakati akijua wazi kuwa haya ni mambo yanayouhusu public.Hapa inaonekana kiana ngeleja akijaribu kumuimbisha kuhusu dowans. watalaamu wa body language naomba mtusaidie.

Duh!mkuu mbona unakwenda mbali sana!!wasubir ya misri tunisia mana alisema tuwalipe dowans ipo siku kama sio yeye basi ni watoto wake au ndugu zake akumbuke sadamu kule iraq nduguze awapo tena duniani