Maskini, mdogo wangu Nyerere! Kifo hakina huruma. RIP Julius.
Acha utani ndugu yangu, ina maana mwl JkM alikuwa mdogo wako kiumri and still you are browsing JF?
UNA UMRI GANI KWA SASA?
I THINK BEYOND 98.!!!
Naomba CV ya Mkurugenzi wa TSRA wadau
Nyerere hapa sijui alikuwa anamteta nani?
Jamani hii picha inanikumbusha siku Mwl. Nyerere aliposema Jakaya hawezi kuongoza nchi atatupeleka kucheza dansi na..........ongeza niliyoyasahau.
Nyerere ni "mdogo wangu" kimila na desturi. Yeye alikuwa mtani wetu mzuri sana. Uliza usimuliwe stori ya marehemu Batenga alivyosomba tofali za Nyerere pale kwake Msasani. Umenielewa?
Maskini, mdogo wangu Nyerere! Kifo hakina huruma. RIP Julius.