Wagombee kwa sababu waume zao walikuwa marais?Naomba Mungu hao wamama wawili wagombee urais nchini mwao na washinde.....this time iwe zamu ya wanawake.
NdiyoWagombee kwa sababu waume zao walikuwa marais?
haimake senseNdiyo
KweliNaomba Mungu hao wamama wawili wagombee urais nchini mwao na washinde.....this time iwe zamu ya wanawake.
Kwa ninihaimake sense
Eti handsome, acha kujipendekeza kwa waume za watu.Mtamkumbuka sana handsome Kikwete.
sio kwasababu Mwanaume alikuwa anauwezo wa kuongoza basi na mwanamke atawezaKwa nini