upendo, umoja, ushirikiano na maelewano ndio nguzo ya kumlea mtoto katika maadili mema .inapotokea upendo, ushirikiano maelewano na umoja havipo katika familia mtoto hukua katika hali hatarishi inayoweza kupelekea kuangukia katika makundi na tabia zisizo salama kwake.