kwa nini unasema yupo nje ya mada?ni kweli,picha ya muda mrefu sana.ilipgwa 1993,na mpga picha alipata tuzo kwa hyo picha.na alijiua kutokana na msongo wa mawazo,kwa kuwa alilaumiwa sana kwa kutomsaidia huyo mtoto pichani.
Hii mijishauo ya ajabu kwel.... hujui kama kuna watu waliojiunga JF hv karbun au ambao ktk namna moja au nyingine hawakuiona?!
By the way hii habari still inaish na itaendelea kuishi... wacha tujikumbushe