georgemwaipungu
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 2,779
- 588
Na wizi wa Kikwete..POLE ndugu yangu.
..tusiwalaumu wananchi kwa kuichagua CCM.
..wapinzani hawakufanya kazi ya kutosha kuwahamasisha wananchi.
..kampeni za upinzani na mgombea wao hawakuwa na mvuto hata kidogo.
..pamoja na mgombea wetu kuwa mgonjwa na kushindwa kuhutubia kila mahali, bado wananchi walijitokeza kwa wingi kupigia kura wapinzani.
..wapinzani tujilaumu sisi wenyewe kwa kuweka mgombea dhaifa na kuendesha kampeni zisizo na mvuto.
Relax: You had our approval. All copied and wired to BBC/CNN representatives.
Now the main question is what is next step?
Kweli mkuu.M/Mungu atusaidie, kwa kweli nchi yetu inahitaji maombi ili indokane na laana hizi za MaCCM/ POLICCM.
Hata SHETANI anawashangaa watawala wetu, ni zaidi ya laana wayafanyayo.
Nchi iliyo huru haiwezi weka watu wake katika maisha haya miaka yote.
Ukipata jibu naomba uni tagHii ni ya 2012, kesi iliishaje?