Picha halisi ya Magufuli alipokuwa Waziri wa Ujenzi na sasa Rais

G 4real

JF-Expert Member
Nov 17, 2014
454
212
Hostel mpya za Chuo Kikuu zimegharimu Tsh 10 Billion
zikiwa na uwezo wa kuweka vitanda 3800. Zimejengwa 2017.

Hostel za Mabibo ziligharimu Bilioni 27 zenye uwezo wa kuweka vitanda 4000. Zilijengwa mwaka 200O.

Nini maoni yako juu ya hili?
 
Mwaka 2000 yeye mwenyewe alikuwa waziri wa Ujenzi. Kwanini hakufanya iwe bilioni 10?
Hakuwa waziri wa ujenzi usipotoshe umma mwaka 2000 alikua waziri wa mifugo ndo alihesabu samaki wote nikipindi cha mkapa magu kawa waziri wa miundombinu kwa kikwete
 
Kanistua pale aliposema, "ingewezekana kabisa hostel hizi zingekuwa mifukoni mwa watu. Kumbe nchi hii baadhi yetu wana mamifuko makubwa kiasi hicho!!! Kansella wa ud alikakaa kipande ipi kamera hazikumnasa.

Na washawasha!
 
Hostel mpya za Chuo Kikuu zimegharimu Tsh 10 Billion
zikiwa na uwezo wa kuweka vitanda 3800. Zimejengwa 2017.

Hostel za Mabibo ziligharimu Bilioni 27 zenye uwezo wa kuweka vitanda 4000. Zilijengwa mwaka 200O.

Nini maoni yako juu ya hili?
Swali hilo wanapashwa kujibu NSSF, siyo JPM.
 
  • Thanks
Reactions: cdc
kinyaaa-jpg.496579
 
Attachments

  • KINYAAA.jpg
    KINYAAA.jpg
    41.4 KB · Views: 220
Hostel mpya za Chuo Kikuu zimegharimu Tsh 10 Billion
zikiwa na uwezo wa kuweka vitanda 3800. Zimejengwa 2017.

Hostel za Mabibo ziligharimu Bilioni 27 zenye uwezo wa kuweka vitanda 4000. Zilijengwa mwaka 200O.

Nini maoni yako juu ya hili?

Wizi mtupu
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hakuwa waziri wa ujenzi usipotoshe umma mwaka 2000 alikua waziri wa mifugo ndo alihesabu samaki wote nikipindi cha mkapa magu kawa waziri wa miundombinu kwa kikwete
nawewe pia usipotoshe umma! mwaka 2000 alikuwa ni naibu waziri waujenzi wakati huo waziri wa ujenzi akiwa ni Anna Abdadarah mke wa spika mstaafu Mzee msekwa
 
Asitupotezee na hiz hostel. Kumbukeni maten pasenti aliyokuwa akilazimisha kupewa akiwa wazir, ukwapuaj wa nyumba za serikali na kugawia mahawara kama njugu, kivuko na meli na hivi karibuni bila aibu kaiba kibabe rambirambi. Wanaomjua tunamjua sana tu!

Akwende zake!
 
Back
Top Bottom