Kachanchabuseta
JF-Expert Member
- Mar 8, 2010
- 7,263
- 685
wengi hapo awali walimuona Lema kama mtu mwenye 'akili ndogo' na kudhani kuwa kwa kupata Ubunge wa Arusha mjini alikuwa amefikia malengo yake kimaisha kama ilivyo kwa ma-MP wengi hapa bongo lakini inaelekea huyu bwana kama yeye anavyojipambanua, ana mawazo ya mbali zaidi ya alivyodhaniwa!Mungu mbariki Lema wetu pamoja na M4c kwa ujumla.
Jamaani Lema kumbe kaenda kwenye harusi halafu mnasema ameonana na meya upuuzi huu.Toeni uchafu hapa
Jamaani Lema kumbe kaenda kwenye harusi halafu mnasema ameonana na meya upuuzi huu.Toeni uchafu hapa
naona mkamerun yuko nyuma nyuma tu.vp ndio kutuambia kua na wao wamoo?