PICHA: Gari ni hiyohiyo lakini nashindwa kuelewa dalali yupi ni sahihi kati ya hawa hapa

Hivi punde

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
2,554
8,581
Wakuu, leo katika pitapita yangu fb, nimeona gari inanadiwa. Madalali wawili wote wanainadi hiyo gari lakini taarifa zao zinakinzana hasa katika:-

1. Cubic Capacity (cc)

2. Bei yake

3.Kilometres

Nyie wamiliki wa magari, kuweni makini na madalali.
Screenshot_2017-05-15-08-19-52.jpg
Screenshot_2017-05-15-08-19-16.jpg

Naombeni ushauri,chuma inaonekana piruuuu.Nissan T716 CUU
 
Sasa we unaomba ushauri? au unaongea na wamiliki wa magari kuhusu madalali?
Na huo ushauri unaomba kuhusu nini...
But, why are you doing this to us my friend?
 
Mkuu kama umeamua kufanya kazi na madalali hilo la bei ni kawaida ,muhimu hapo ni kufata bei itakayokufaa na uombe punguzo

Bei tofauti ,Inawezekana huyo wa bei kubwa kapewa kazi na huyo wa bei ndogo
Bango
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom