(Picha) Gari linauzwa Mercedez Benz E 200 bei poa

(Picha) Gari linauzwa Mercedez Benz E 200 bei poa

Msingi Hoja

Member
Joined
May 4, 2011
Posts
17
Reaction score
2
DSC00292.JPG



Gari lipo katika hali nzuri,ina marekebisho madogo sana.

Bei ni Tsh Mil 8.5 tu mazungumzo yapo.

0717 424601
 
Mbona imeshapinduka?
limepigwa mtama!!!

ushauri 1. weka milage
2. limezaliwa lini
3. ni marekebisho gan ya kufanya
4.sio la urithi?
hope utawapata wanunuaji, ila mie sio mnunuaji
 
cc ngapi?unaweza kukuta linakula wese kama scania
 
Mkuu rudi basi tufanye mazungumzo, mbona umepotea? Wasikukatishe tamaa hawa mabwana!
 
Series C 200 pesa yote hiyo tena likiwa linahitaji "matengenezo kidogo")?
 
mimi nilijua gari zima kumbe limepinduka basi nimegaili
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom