Picha: Gari binafsi kwenye barabara ya mwendo kasi

The Evil Genius

JF-Expert Member
Mar 21, 2014
6,002
19,449
Kuheshimu sheria bila shuruti hii nchi bado tuna safari ndefu.

Pamoja na serikali kupiga marufuku gari binafsi kutumia barabara za mwendo kasi bado haijaeleweka kwa baadhi ya watu.
Angalieni wenyewe
ga1.jpg
ga2.jpg
ga3.jpg
 
kutaka hiyo gari ya max malipo isipite humo ni sawa na kutaka kiberenge kisipite katika reli,maxmalipo ni sehemu ya mradi huo. Lakini pia nimeona ambulance zikipita humo nadhani nazo zinaruhusiwa kisheria,nahisi hata mapolisi wakiwa wanakimbiza majambazi sheria inawaruhusu kupita humo hapo sijazungumzia jeshi ambalo nadhani halihusiki na sheria zenu za kiraia
 
Back
Top Bottom