Mafisadi wana mbwembwe sana. Lakini haiwasaidii kitu
Siwez jiunga na mafisiadi
Nilijua tu utakuwa umetema pumba hapa
Kama utanipa ushahidi kuwa walao kwa sekunde moja kuwa Lo Hasa aliwahi kukemea ufisadi bungeni au hata nyumbani kwake au aliikataa hii katiba ya kina vijisenti na mwenzake six basi nitakuwa mfuasi mzuri wa huyo Lo Hasa
[h=3]About Hon.Edward Lowassa | 4U Movement[/h]
[h=3]UZALENDO.[/h] Amejenga UMOJA wa kitaifa, kwa kuhakikisha huduma muhimu zinapelekwa sawa sawa vijijini. Kama shule ya sekondari kwenye kila kata na mpango wa zahanati kila kata, ambao uliishia katikati, na pia kuheshimu imani za madhehebu tofauti na kushiriki nao shughuli za maendeleo
hivi akikosa urais, atafanyaje? najaribu ku imagine, kitatokea nini kwa huyu mzee? atakuwa mgeni wa nani? pamoja na kwamba napenda angepata urais.
Hivi kumbe hata wewe unauelewa huu msamiati wa ufisadi!!Mafisadi wana mbwembwe sana. Lakini haiwasaidii kitu