Handshake mmeiona? track Suit ya Dr Slaa je?
I think inabidi Dr. awe na mpambe wa kumsaidia juu ya mavazi, maana hiyo track suit . . . . .
Mbona haina tatizo. Au ulitaka avae nguo zinazobana kama wanazovaa masharabaro? Halafu waweza kuta Slaa ni yeboyebo labda ndio maana aliwatolea uvivu kuvaa tracksuit nyekundu.
Slaa anajichekesha kwa JK ili apewe ulaji sijui
yafaa kuitwa suit track kwa DrHandshake mmeiona? track Suit ya Dr Slaa je?
I think inabidi Dr. awe na mpambe wa kumsaidia juu ya mavazi, maana hiyo track suit . . . . .