Hao ni Waheshimiwa wabunge wa CCM na CUF - Zanzibar..
Watanzania wana kumbukumbu dhaifu baada ya miezi kadhaa Slaa kama hayuko bungeni au hapewi uenyekiti wa Chadema watamsahau,muda huu Mbowe aelekeze nguvu zake bungeni na Mzee apewe chama akijenge muda huu ambao bado ana momentum na jina lake liko midomoni mwa watu.
Kama nalikubali wazo lako in a way . . . . . Can you explain more?
Is true that people are judged through their characteristics and actions that serves the interests of many.
sasa hivi kuna maraisi wawili
rais wa jamhuri ya muungano wa tz (kikweete)
rais wa watu wa tanzania (Hon dr. W. Slaa) na huyu ndo raisi wangu