Picha: Dr. Slaa Commands A Very High Respect!

Superman

JF-Expert Member
Mar 31, 2007
5,695
1,692
Dr. Slaa is now the center of attention wherever he goes. He is not a glamorous movie star, just an ordinary good citizen, man of the people with an excellent command of highest respect.

To "command respect" is to be given respect without asking for it- without forcing other people to give it to you- they naturally respect you because of your actions. Dr. Slaa Commands A Very High Respect!


Dr. Slaa "commands" respect because it is obvious people admire him. More than 25% of People wanted him to be a president and may be also more than 60% of the people who did not vote. I am sure Dr. Slaa is "The President of The People".


In contrary someone who "demands" respect might be someone you fear- you respect them because of what might happen if you don't. Who could that be?


Look at the below pictures, analyse them and tell us what the pictures speak . . . .

attachment.phpattachment.php
 

Attachments

  • Dr Salaa - Respect 2.JPG
    Dr Salaa - Respect 2.JPG
    58.6 KB · Views: 665
  • Dr Salaa - Respect 1.jpg
    Dr Salaa - Respect 1.jpg
    37.6 KB · Views: 649
Mtoto wa mwinyi hapo hana la kusema!kampa heshima zote!dr slaa is a presidaaa...
 
Is true that people are judged through their characteristics and actions that serves the interests of many.
 
Slaa the President of United Republic of Tanzania 2010 - 2015

Yeah Take is or Live it Malaria Sugu...
 
Watanzania wana kumbukumbu dhaifu baada ya miezi kadhaa Slaa kama hayuko bungeni au hapewi uenyekiti wa Chadema watamsahau,muda huu Mbowe aelekeze nguvu zake bungeni na Mzee apewe chama akijenge muda huu ambao bado ana momentum na jina lake liko midomoni mwa watu.
 
Watanzania wana kumbukumbu dhaifu baada ya miezi kadhaa Slaa kama hayuko bungeni au hapewi uenyekiti wa Chadema watamsahau,muda huu Mbowe aelekeze nguvu zake bungeni na Mzee apewe chama akijenge muda huu ambao bado ana momentum na jina lake liko midomoni mwa watu.

Kama nalikubali wazo lako in a way . . . . . Can you explain more?
 
Kama nalikubali wazo lako in a way . . . . . Can you explain more?

siasa dhaifu hizo, kama unaheshima ndani ya chama unawaza kutoa mchango wako ndani ya chama hata akibaki kuwa mwanachama wa kawaida tu, kumbuka nguvu za Nyerere akiwa nje ya CCM. Dr Slaa atatoa mchango mkubwa kwa chama akiwa nje ya bunge vile vile
 
Ndo faida ya kuwa na hekima.
1. Amekataa matokeo ya urais
2. Amegoma kuhudhuria sherehe ya kumwapisha Kikwete
3. Hana haraka ya kutoa tamko la Chadema

I SALUTE YOU OUR TRUE PREZDAA
 
Ukiacha siasa pembeni, utaona kwamba Dr. Slaa anaipenda Tanzania. Anawapenda pia mafisadi ISIPOKUWA hapendi kamwe UFISADI. Fuatilia hotuba zake, crystal clear.
 
sasa hivi kuna maraisi wawili

rais wa jamhuri ya muungano wa tz (kikweete)

rais wa watu wa tanzania (Hon dr. W. Slaa) na huyu ndo raisi wangu
 
sasa hivi kuna maraisi wawili

rais wa jamhuri ya muungano wa tz (kikweete)

rais wa watu wa tanzania (Hon dr. W. Slaa) na huyu ndo raisi wangu

.....I second you, HOW CAN YOU NOT RESPECT THIS MAN? KILA KITU ANAFANYA FOR THE PEOPLE!Presidency is of the people, by the people for the people.... think about that and tell yourself who that is .... and who is not (in Tanzania)!???????? HAKI ITACHELEWESHWA TU, LAKIN HAIWEZ KUKATALIWA MILELE HAKYANAN!!!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom