Sitaki kutaja Ni kambi gani..ili niendelee kupata hizi picha
Nawasilisha
Jamani nini ulazima wa kupitia JKT
mbona watu waliishaziweka hapa Jamvini muda mrefu wewe ulikuwa umelala? Namwona Halima Mdee, Ester.
Kajipange upya mkuu
Sio kosa lake ndio wale wanaokurupuka ili tu waonekane na wao wameanzisha uzi bila kupitia jamvi kwanza.Tushaziona kitambo sana hapa jamvini wewe ulikuwa wapi wakati zimewekwa?
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
hawa ambao leo wwanaisumbua nchi hii wote wamepita huko!!sidhani kama huo uzalendo uko huko labda ukakamavu!Kuwa mzalendo wa kweli na ukakamavu...
hawa ambao leo wwanaisumbua nchi hii wote wamepita huko!!sidhani kama huo uzalendo uko huko labda ukakamavu!
Ile squad yote ya Mafisadi imepita JKT ndo uzalendo wenyewe huo? Peleka binti yako akirudi akwambie ukweli wa ya huko.Kuwa mzalendo wa kweli na ukakamavu...
Sitaki kutaja Ni kambi gani..ili niendelee kupata hizi picha
Nawasilisha
Ile squad yote ya Mafisadi imepita JKT ndo uzalendo wenyewe huo? Peleka binti yako akirudi akwambie ukweli wa ya huko.