Picha: Chama kimekula mpaka kumbukumbu

....

.....jamaa wekula lakini matumbo hayashibi ...hata wakila mawe bado hawatashiba !!!
 
Daaah!!!! Twiga mnyonge masikini, kazi kubwa sana ya kujivunia ni kubadili jina kutoka ATC kuwa ATCL, kutoka TRC kuwa............ Nimesahau hilo jina la kiponjolo.
 
CCM wametosha....wasipoondoka mwaka huu basi yatakayofanyika 2016 itakuwa ni balaa. Wizi siyo wizi na ufisadi mtindo mmoja. Wananchi muamke
 


Nashukuru sana mleta uzi,
Kwa ufupi inatia uchungu sana kuona nchi ndogo kama Rwanda na Malawi zinaweza kuwa na mashirika ya ndege yaliyo imara kabisa.Rwanda inayotegemea madini ya kuporwa kutoka DRC inamiliki ndege zaidi ya tano za kununua yenyewe.
Sisi tulio na madini ya kila aina hatuna hata moja tumebakina jina tu.Ni aibu sana.
 
Makamanda mpo??

ONYO;
Usishike, Usiguse, Usijaribu ,Usionje, haifai kwa matumizi ya mwananchi. Muda wake wa matumizi umeisha kabisa,
EXPIRY DATE
30/10/2015.
CCM ni SUMU
weka mbali na Watu wote bila kujali ,Rika, Kabila, Dini, Ukoo, Jinsia wala hali ya mtu. (SUMU HAIJARIBIWI) WATANZANIA WAMEIJARIBU CCM KWA ZAIDI MIAKA 40 LAKINI HAITIBU , INAUA TU! OCTOBER 2015 KATAA CCM. Tuma sms hii kwa wapiga kura 10. Kuiokoa Tanzania.
 
CCM ni viwavi wenye laana...
 
Mnakuwa wavivu wa kufikiri, na walipokuwa wanakula nyie mlilala usingizi wa pono?
Lete mada yenye mashiko bana!
kinacho elezewa ni namna waliopewa dhamana ya uongozi walivyoua kilichokuwepo...kaka kama kusoma hujui/huelewi hata picha huoni/ huelewi?
 
Leo nimesoma sehemu kuwa Mo-Dewji ni tajiri namba 24 Afrika, na amefikia hapo alipo kwa kununua viwanda vilivyokuwa vya serikali na kuvifanya kutengeneza faida kubwa. Kinachonishangaza kwanini vilivyokuwa vinamilikwa na serikali vilikuwa havina faida?
 
Kuna blog nilitembelea mikakuta wakenya wakihadisiana raha wanayoipata wakiona ndege yao huko airport za nje. Yani the pride they feel as Africans and especially Kenyans kuona nchi yao na bendera ikipeperushwa on international runways next to Qatar,Swissair,Emirates e.t.c. mimi sisikiagi wivu lakini iliniuma kuona sisi tumeua chetu and what a proud feeling that must be.
 
kinacho elezewa ni namna waliopewa dhamana ya uongozi walivyoua kilichokuwepo...kaka kama kusoma hujui/huelewi hata picha huoni/ huelewi?
Mkuu huyu mtoa mada ansishi katika dunia ya nostalgia, kutamani vya zamani vilivyomuwezasha baba yake au vilivyomuangusha.
Vya sasa mbona vipo vingi na tumeigia soko huria, na huko ndo tuaibiwa kish.enzi
Hatutarudi nyuma
Ninacho shangaa ni mtu kuto-think foward , mtu ana think backward na hapo ndo maCCM yanawapo wapiga magoli ya uhakika.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…