PICHA: CHADEMA 'wauteka' mji wa Arusha

kama ni rational person, sidhan kama unaweza kubeza juhudi hiz za M4C za chadema. ukitumia tumbo kufikir lazima MAGAMBA waku-win tu. nawapa pole hao madiwani maana utu haununuliki. hawa jamaa hata wakiomba msamaha kwa kutambaa; tuseme no no no maana hawana tofauti na Lusinde. kumbuka "Ndege wa rangi moja huruka pamoja"
 
Last edited by a moderator:
Ukweli siku zote utabaki pale,kwamba picha inazungumza zaidi ya maneno moja elfu,BIG UP CHADEMA.
 
makamanda kazi bado yani safari hii ccm watakunywa sumu tu kwani jimbo la Arusha bado ni letu tu peoplessss...............?
 
kweli chama chetu kimekuwa makini sana kwani busara zinatumika sana kingekuwa chama cha mafisadi wangeanzisha fujo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…