Mwanajamii
JF-Expert Member
- Mar 5, 2008
- 7,063
- 72
Hivi Viongozi wa CCM wakiona picha kama hii vichwani mwao wanaona nini?Hakika uwa siamini kuwa kuna kiongozi huwa anaona umati [ukiita ni genge au kundi ni makosa huu ni umati] na anauchukulia kama wahuni kama walivyozoea kuwaita,jamaini itakuwa ni wendawazimu uliopitiliza.
Poleni CCM endelezeni mbwembwe zenu za kujivua gamba na kuwalea mafisadi wanaopeleka chama chenu kaburini.Mnapaswa kutishwa na mahitaji ya UMATI HUU na sio MAHITAJI YA WATU WASIO ZIDI MIA MOJA NA HAMSINI.
ITAKUWA NI AIBU NA KIFO CHA CHAMA CHAO NA HATIMAE KUKUMBANA NA HUKUMU YA UMMA ambayo ni mbaya na ina aibu kubwa sana kwa wahusika, familia na marafiki wao.
Wajifunze kupitia PICHA, kwani WACHINA WANASEMA PICHA UZUNGUMZA MARA ELFU MOJA [A Picture Speaks a thousands words]
CCM endeleni kuwapuuza wanauamati huuu.
Nchi hii ina watu wengi katika mikoa mbalimbali, lakini nyie kila siku ni Arusha tu??? sijawahi kuwaona katika mikoa mingine. Na wewe kwa mtizamo wako unadhani ni watu wa Arusha pekee ndio wa kuifikisha CMD magogoni?
- :lol: Only Time will Tell, CHADEMA INA NGUVU YA KANISA, UNAONA UBABE NA VITISHO WANAVYOTOA WAKATI WANAPODAI WANCHOKIITA HAKI? INGEKUWA NI CUF UNGESIKIA A LOT OF BLAA BLAA! LAKINI LETS WAIT AND SEE!
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) hii leo kimefanya mkutano mkubwa jijini Arusha ambapo kimetoa ufafanuzi juu ya maamuzi yake kuwavua uanachama waliokuwa Madiwani wa chama hicho.
Ikumbukwe kuwa jana Godbless Lema alishatoa CD ya kuonyesha kilichojiri hadi kupelekea madiwani hawa kufukuzwa chamani.
Hii leo chama hicho kimekusanya umati wa wananchi ambapo Mwenyekiti wa chama hicho Freeman Mbowe amehutubia. Tutawaletea taarifa kwa kirefu lakini pata picha hizi kama zilivyowasilishwa na mdau wa JamiiForums:
Mbowe akihutubia umati wa wananchi hii leo katika uwanja wa NMC
Sehemu ya umati wa watu waliohudhuria mkutano wa CHADEMA hii leo
Kimeongelewa nini, nini kilichojiri nyuma ya pazia? Fuatilia FikraPevu keshoCHANZO: CHADEMA wauteka mji wa Arusha! | Fikra Pevu | Kisima cha busara!
Dah, CHADEMA wana nguvu sana, CCM wakiona hivi wanaleta FFU!..
- :lol: Only Time will Tell, CHADEMA INA NGUVU YA KANISA, UNAONA UBABE NA VITISHO WANAVYOTOA WAKATI WANAPODAI WANCHOKIITA HAKI? INGEKUWA NI CUF UNGESIKIA A LOT OF BLAA BLAA! LAKINI LETS WAIT AND SEE!
Ukombozi wa nchi hii utaanzia kanda ya kaskazini, kanda ya ziwa, kanda ya kusini na Dar es salaam....kooote huku watu wameamka tayari na siku moja kwa pamoja watatoka kutafta haki yao kwa watawala dhalimu wa nchi hii .......na siku hiyo itakuwa ndio ukombozi wa mtanzania....na movement hiyo itachangiwa na watawala kukataa kuachia ngazi baada ya uchaguzi ambao upinzani utashinda kwa kishindo.......this day will come(hope its 2015).......i can clearly see it......considering these days' happenings......
wingi wa umati co kura!