Picha; C.C White pat

usijali sana...bado unawezaukakutana na marafiki wa JF, si lazima iwe party...popote ulipo mnaweza kutana wawili watatu!!...na kama upo hapa Dar nitakushangaa kweli kuwa hujawahi kutana na rafiki yoyote wa JF

umeona eh? 2mekoswa na meng kweli.
 
usijali sana...bado unawezaukakutana na marafiki wa JF, si lazima iwe party...popote ulipo mnaweza kutana wawili watatu!!...na kama upo hapa Dar nitakushangaa kweli kuwa hujawahi kutana na rafiki yoyote wa JF

party ndo nzur coz wanakuepo weng.
 
2fanyeje sasa? 2takua 2nakisia huu mgu mweus km mkaa ni wa paka mweusi, hu mwembamba km fito ni nanih, na huu mwingine ni wa ...


Una bahati kweli sasa hivi nimebanwa na kazi hata JF nachungulia kwa nadra,,
 
Nimesubir mpaka bas nikijua wadau waliofika white pat wataweka picha lkn hamna ki2! Jaman 2wekeen picha na ce ambao ha2kuepo 2faudu lol... Km hamtak 2one sura zenu bas weken hata miguu.

Anita, Anita Baby yele leleiee iye iyeeeeee.
Bujibuji nilkuwepo ndani ya yt paty na kisimu changu cha mobiteli kutoka tritel Siemens C25 Twanga Pepeta, kamera hadi nimuite mpiga picha. Naye akisha piga picha aende kusafisha kisha tuanze gombania negativu. Yaaani picha ni mzozo weee acha tu
 
Last edited by a moderator:
wakati ukifika nitaziweka hewani ha ha umwone lara 1.madame b ,mwaj ,matambuzi,bujibuji na wengineo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…