Picha Bora kabisa ya wiki.

Usitumie nguvu sana kuwaaminisha watu kuwa wewe una fikra kubwa sana au upo tofauti na wengine katika kufikiri. Sometimes chukulia vitu katika uhalisia na urahisi wake maana vitu vingine havihitaji fikra pevu kuliko hisia.
Kwani ratiba ilikuwaje? Kulikuwa na ratiba ya kuaga barabarani? Je kuna picha nyingine inayofanana na hiyo? Sometimes vitu vingine hutokea kwa nadra,kwa ratiba hapo dereva ananyoosha tu ," mnaaga kwa macho" polisi hao mbele unadhani wangeruhusu upotevu wa muda? Kuna kitu cha ziada hapo.
 
Usitumie nguvu sana kuwaaminisha watu kuwa wewe una fikra kubwa sana au upo tofauti na wengine katika kufikiri. Sometimes chukulia vitu katika uhalisia na urahisi wake maana vitu vingine havihitaji fikra pevu kuliko hisia.
Hahaha
 
Huyo jamaa huwa anakaa makutano ya mataa ya salenda darajani, kijiwe chake ni kutoka mataa hadi darajani kama unaenda mjini. Anamfahamu vzr Mzee Mengi, maana ndiyo njia yake Mzee wetu.
 
Kuna watu haitajiki nguvu nyingi kujua mambo mazuri waliyoyafanya,mtu kama Mengi hata kama watu wakikaa kimya na kutomsifia basi mawe yatapiga kelele na kumsifia,Mengi amefanya mengi sana ambayo yamegusa watu wa chini na wenye vipato vya kawaida hasa walemavu,mioyoni mwao wanajiuliza nani atawasaidia?

Nani atakubali kuwaandalia zile events alizokuwa akiwaandalia mzee Mengi kila mwaka ,huku akiongea nao,kuburudika nao,kula nao,kuwafariji na kuwapa nguvu,bila kusahau kuwasaidia mitaji ya kibiashara,ndio maswali jamaa anayeligusa hilo gari anayojiuliza moyoni RIP Mengi.
 
Unaweza kuwa sawa kabisa ya kuwa dereva ndio alipangua ratiba nzima kwa kupunguza mwendo ili huyo muhusika alishike hilo gari.
 
Kwa hivyo mashabiki wa simba ni omba omba na walemavu?
Nafkiri kutoa sio mpaka matangazo, nina uhakika na ushahidi kila mwisho wa mwezi Bakhresa utoa msaada wenye thamani milioni 100 kwa wasijiweza, yatima kwa mikoa tofauti.
 
Nafkiri kutoa sio mpaka matangazo, nina uhakika na ushahidi kila mwisho wa mwezi Bakhresa utoa msaada wenye thamani milioni 100 kwa wasijiweza, yatima kwa mikoa tofauti.
Tatizo udini, anabez kwa waislamu wenzake, hasa kipind hiki cha ramadhan,

Wengine ni makafiri ,wanaambiwa muislamu ndugu yake ni muislamu
 
Hii picha mwenye nayo angeiuza AFP angepata pesa za kutosha
 
Tatizo udini, anabez kwa waislamu wenzake, hasa kipind hiki cha ramadhan,
Wengine ni makafiri ,wanaambiwa muislamu ndugu yake ni muislamu
Mmm maybe! Lakini mbona kuna vituo vya yatima na wasio jiweza wenye wenye dini na wasio anawatolea?!
 
hiyo kitu inaitwa PHOTOJOURNALISM ndo maana upokuwa mpiga picha katika matukio mbali mbali unashauria kupiga piga hata picha 10 na kuendelea kwa sababu linaweza tokea tukio ambalo ni ngumu kujirudia kwa mfano kudondoka kwa mugabe
 
Nikweli
 
Kunde ekeke na zero IQ nani kapigwa sana
kipigo cha Kunde Ekeke ukimwita ukamwambia aseme PILAU nauhakika kabisa atasema FILAU, ILA kwa ndugu yetu Zero IQ yeye nauhakika ukimwambia aseme Pipoooooz nae bila kusua sua atasema Fifoooooz, kwa maana hiyo vipigo vya hawatu wawili havisemeki maana Lips zao hazina ushirikiano si TAYA wala si Mdomo ni KOO tu lakutoa sauti limebaki.
 
Lugendo Muta alifanya mengi sana, hasa yanayohusiana na kipaji cha Dogg style
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…