Picha: Battery aina hii zinapatikana wapi?

issawema

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2013
Posts
776
Reaction score
644
Wakuu,

Kuna kifaa nimenunua lakini cha kushangaza aina ya battery kinazotumia ni tofauti kabisa na hizi battery za kawaida. Nilikuwa naomba msaada kama kuna mtu anajua upatikanaji wa hizi battery, nipo Dodoma.

Angalia namba imeandikwa apo kuna A,AA,AAA iyo utakua ya katikati AA nenda dukan wakupe aina iyo,zipo mpaka maduka ya mangi,
 
Wakuu,

Kuna kifaa nimenunua lakini cha kushangaza aina ya battery kinazotumia ni tofauti kabisa na hizi battery za kawaida. Nilikuwa naomba msaada kama kuna mtu anajua upatikanaji wa hizi battery, nipo Dodoma.

Nenda supermarket yoyote waambie wakupe Double A...au Triple A battery
 
Wakuu,

Kuna kifaa nimenunua lakini cha kushangaza aina ya battery kinazotumia ni tofauti kabisa na hizi battery za kawaida. Nilikuwa naomba msaada kama kuna mtu anajua upatikanaji wa hizi battery, nipo Dodoma.

Nenda KVD Mtaa wa Makunganya utapata hiyo Batri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…