Picha: Amazing Kenyans!!!!

Na inasemekana wanamme zaidi ya milion moja nchini Kenya wamerudi majumbani kwao baada ya kuwa hostage kwa muda wa siku zaidi ya 3 pale westgate. Namba hii inategemea kuongezeka sana maana wapo waliolazwa kusikojulikana.
 
Halafu mnakuja juu wao wakiweka katuni ya Mtanzania akibisha hodi kwenye lift !
 
Na inasemekana wanamme zaidi ya milion moja nchini Kenya wamerudi majumbani kwao baada ya kuwa hostage kwa muda wa siku zaidi ya 3 pale westgate. Namba hii inategemea kuongezeka sana maana wapo waliolazwa kusikojulikana.

Hao wanaume lazima watakuwa wanaomba westgate nyingine itokee.
 
ehhh wanaume waoga kupigwa hawa waone hivihivi wao wanajifanya wababe kupiga wenzao tu ukimgeuzia kibao yeye anakuwa mdogo kama piriton...ngoja nikajifiche kabla hawajanisikia...:behindsofa:


mimi49 nakwenda kukunywea bia sasa hivi. Unaanza kiburi wewe, shauri yako ninakuja huko home.
 
Last edited by a moderator:
Ngoja niwarm up na naenda kuchuma fimbo yangu ya mpera kabisa....


Weweweeee, basi kama ni hivyo ngoja nizidishe kipimo ili nipate kisingizio cha kukubamiza zaidi. Nilitaka bia moja tu ya kujistua lakini kwa kuwa umeongeza kiburi basi nitazidisha kunywa kwa ajili ya kukuchapa, na leo lazima majirani wasikie kelele zako maana unajianya hupigi kelele siku zote leo ndo kikomo chako. Usinilaumu kwani umeyataka mwenyewe kwa kunitishia na hizo fimbo zako uchwara.
 
Kudadeki nitakucharaza wewe mpaka pombe zikutoke kichwani na njia ulokujia utaikumbuka...utairudia hio hio:boxing::boxing::boxing:
 
Kudadeki nitakucharaza wewe mpaka pombe zikutoke kichwani na njia ulokujia utaikumbuka...utairudia hio hio:boxing::boxing::boxing:



Kumbe wewe ni mjanja enheeee, nimegonga mlango hujanifungulia kuogopa kipondo ila si kitu bado siku zako zinakuja tu.
 
Tena itokee kubwa zaidi ila magaidi wawe hawa


Hehehehe! Wengi tutaomba watutonye kabisa siku watakayofanya huo ugaidi ili tuwe humo ndani kabisa. Liwalo na liwe.
 
Ha ha ha ha, hujatulia kabisa

Hehehehe! Wengi tutaomba watutonye kabisa siku watakayofanya huo ugaidi ili tuwe humo ndani kabisa. Liwalo na liwe.
 
Kwa picha hii naelewa kwanini Kenya wanaumme wameanzisha chama cha kutetea haki zao katika ndoa!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…