R rolla JF-Expert Member Joined Apr 20, 2013 Posts 2,274 Reaction score 1,214 May 1, 2014 #41 Jf ni noma. Yani mimi mtu akinikera naamia jf kupata furaha . Jf daima.
M mzeelapa JF-Expert Member Joined Jul 14, 2010 Posts 1,124 Reaction score 408 May 1, 2014 #42 masai dada said: kitambi kwa wanaume wala hakiwatesi wao kina tutesa sisi unataka kujua kwa nini??? Click to expand... Na nyie pia vitambi vyenu akina dada siku hizi, hebu fikiria kitambi (ke) na kitambi (me) vikikutana sijui staili gani itakuwa mwafaka...
masai dada said: kitambi kwa wanaume wala hakiwatesi wao kina tutesa sisi unataka kujua kwa nini??? Click to expand... Na nyie pia vitambi vyenu akina dada siku hizi, hebu fikiria kitambi (ke) na kitambi (me) vikikutana sijui staili gani itakuwa mwafaka...
M mzeelapa JF-Expert Member Joined Jul 14, 2010 Posts 1,124 Reaction score 408 May 1, 2014 #43 nngu007 said: Jamaa chokest!!!!! Click to expand...
Shin Lim JF-Expert Member Joined Mar 27, 2012 Posts 8,115 Reaction score 14,884 Sep 20, 2021 #45 Nimeikumbuka hii mada
O Otorong'ong'o JF-Expert Member Joined Aug 17, 2011 Posts 38,903 Reaction score 28,046 Sep 30, 2021 #46 masai dada said: kitambi kwa wanaume wala hakiwatesi wao kina tutesa sisi unataka kujua kwa nini??? Click to expand... Kibahundred
masai dada said: kitambi kwa wanaume wala hakiwatesi wao kina tutesa sisi unataka kujua kwa nini??? Click to expand... Kibahundred
SirAlfred006 JF-Expert Member Joined Sep 21, 2020 Posts 550 Reaction score 1,299 Oct 1, 2021 #48 nngu007 said: 1. Kitambi Mvurugo -- hiki kitambi kimekaa kama O. Kinapatikana kwa kula sana kitimoto. 2. Kitambi Mchuchumio -- hiki kitambi kimekaa kama herufi D. Kinatokana na kula sana michemsho na bia za ofa. 3. Kitambi Mbonyeo -- Akivua shati kitovu hakionekani. Hiki wanacho wala rushwa. Ila akisimamishwa kazi kinaisha. 4. Kitambi Mtepeto -- Ni kitambi cha wastani ambacho ukivaa nguo pana hakionekani. kinasababishwa na kula mno viporo. 5. Kitambi Mfumanio: hiki mtu anakuwa hana pesa ila kitambi ni kutokana na minyoo na utapiamlo wa ukubwani. 6. Kitambi Mtunguo: Hiki wanacho sana wadada. Kina umbo la yai. Hiki kwa 'diet' hakitoki labda Kwa Maombi tu. Click to expand...
nngu007 said: 1. Kitambi Mvurugo -- hiki kitambi kimekaa kama O. Kinapatikana kwa kula sana kitimoto. 2. Kitambi Mchuchumio -- hiki kitambi kimekaa kama herufi D. Kinatokana na kula sana michemsho na bia za ofa. 3. Kitambi Mbonyeo -- Akivua shati kitovu hakionekani. Hiki wanacho wala rushwa. Ila akisimamishwa kazi kinaisha. 4. Kitambi Mtepeto -- Ni kitambi cha wastani ambacho ukivaa nguo pana hakionekani. kinasababishwa na kula mno viporo. 5. Kitambi Mfumanio: hiki mtu anakuwa hana pesa ila kitambi ni kutokana na minyoo na utapiamlo wa ukubwani. 6. Kitambi Mtunguo: Hiki wanacho sana wadada. Kina umbo la yai. Hiki kwa 'diet' hakitoki labda Kwa Maombi tu. Click to expand...